Msaada, mwenza wangu 'kiwango' kimeshuka sana

Msaada, mwenza wangu 'kiwango' kimeshuka sana

Kichwa habari cha husika, hali ya mwenza wangu s nzuri kama zamani, alkua ananpga shoo mpaka naomba poo ... tumelzungumzia lakn yeye haoni kama ni tatizo, tusaidieni!

hahha bidada unataka dozi ya ukweli...sasa kama anaona sawa wee mkomalie akupe dozi za uhakika bwana wacha kumuonea aibu kama vipi ikalie dushelele mwenyewe lol
 
Ok sorry.

Inawezekana wewe ndio una matatizo,au yeye ndo ana matatizo.
Una mjua yeye kuliko anyone else hapa MMU.

Kwa upande wake inawezekana:-
1. Ana mawazo mengi sana,jaribu kumdadisi.
2. Ana matatizo ya kiafya,kisukari haswa huja na madhara hayo (kamuone doctor).
3. Ana matatizo ya kiafya,i.e NYAMA UZEMBE,CHIPS KWA SANA,...(mshauri aanze mazoezi)
4. Alikua anatumia additives flani hapo kabla na sasa hawezi kuzi afford tena,..
(mdadisi zaidi,ilikuaje hapo kabla akawa bingwa na sasa sio,chukua hatua.)
5. Ukichoka chakula,either haukili,au kama unanjaa sana basi utaonja kidogo tu.

kwa upande wako.
1. Labda ulikua mchokozi enzi hizo,hadi anakua hawezi jizuia ila kucheza ngoma (jidadisi)
2. Yawezekana umekua mchafu sana,say you stink to the extent ukiwa nae karibu anatamani uondoke haraka
(kama hapo juu,unajijua zaidi)
3. mmmmmmmmmmh,mmmm maybe umri wako umeeenda sana na anakuona kama nyanyake..... (you know better)


Generally,...

Kwa kiwango kikubwa,ni vigumu kupata ushauri hivi hivi tu.
Ni sawa na kwenda kwa daktari ukamwambia ugonjwa wa mwenzio afu ukategemea
akupe tiba ya uhakika.

Ongea na mwenzi wako,mdadisi ujue nini chanzo.
From there utapata ushauri wa nini cha kufanya.

Kushindwa ku-perform on bed by it self sio ugonjwa.
Ila sababu ya kushindwa ku-perform ndio ugonjwa.

Hapa unaweza ambiwa tumieni viagra,kumbe jamaa ana mawazo kede kede.
Au wewe mwenyewe ukienda lala unanuka mdomo kweli,au kwapa sio kwapa.

Jisome mwenyewe,msome mwenzio,njoo upate ushauri.

Speaker, thx so much ... MUNGU akubark, ntafanya yote ulyonshauri!
 
angalia kama anatumia madawa, mfano mie nikishatumia dawa za malaria naweza kukaa wiki 3 sidindidindi sasa hapa mke wangu akiona sifunguki down tayari ataona hii ngoma tayari ina mtu nje. fanya uskununu kwanza leta hapa tukushauri sawasawa. pia mdau mmoja amezungumzia labda anatumiaga dawa apate huo umaarufu sasa dawa hizo hazipati tena ni wazi u-mandingo utaisha. wenziwe tunajua haya mambo ndio maana hizo dawa tunatumia mara moja tu kulinda heshma zetu tena akiwa hot
 
angalia vyakuka
unavyompikia.punguza kukaanga kila kitu.mlishe maparachich,supu ya
samaki na dagaa wabich,ulez,mboga za majani,matunda.
apunguze stress za kaz au familia.usipende kumlalamikia sana kuhusu
tatizo hilo atakiwa inferior.mazoez

Asante sana kwa ushaur rafk ... B blesd!
 
angalia kama anatumia
madawa, mfano mie nikishatumia dawa za malaria naweza kukaa wiki 3
sidindidindi sasa hapa mke wangu akiona sifunguki down tayari ataona hii
ngoma tayari ina mtu nje. fanya uskununu kwanza leta hapa tukushauri
sawasawa. pia mdau mmoja amezungumzia labda anatumiaga dawa apate huo
umaarufu sasa dawa hizo hazipati tena ni wazi u-mandingo utaisha.
wenziwe tunajua haya mambo ndio maana hizo dawa tunatumia mara moja tu
kulinda heshma zetu tena akiwa hot

thx so much, u'v such a wonderful advice ... hop, I'l b back!
 
thx so much, u'v such a wonderful advice ... hop, I'l b back!

Afu unaandika kidot com kweli,umeolewa wewe au mnaibana?
Yaweza kua sababu hiyo,anadunga haraka haraka anahofia asikamatwe.

Kua basi,haujazi server ukiandika sentensi inayo eleweka.
 
angalia kama anatumia
madawa, mfano mie nikishatumia dawa za malaria naweza kukaa wiki 3
sidindidindi sasa hapa mke wangu akiona sifunguki down tayari ataona hii
ngoma tayari ina mtu nje. fanya uskununu kwanza leta hapa tukushauri
sawasawa. pia mdau mmoja amezungumzia labda anatumiaga dawa apate huo
umaarufu sasa dawa hizo hazipati tena ni wazi u-mandingo utaisha.
wenziwe tunajua haya mambo ndio maana hizo dawa tunatumia mara moja tu
kulinda heshma zetu tena akiwa hot

Thanks kwa ushauri,ki ukwl ntaufanyia kazi
 
Afu unaandika kidot com kweli,umeolewa wewe au mnaibana?
Yaweza kua sababu hiyo,anadunga haraka haraka anahofia asikamatwe.

Kua basi,haujazi server ukiandika sentensi inayo eleweka.

Asante, tumeoana na tuna mtoto ... zaidi tunakaa kwetu, tena wenyewe so uhuru ni 105%
 
badilisheni mazingira, diet na style, usikute kila keo kifo cha mende chumbani...... Mmekosa vionjo anajua utamshika hapa na pale basi...we mwenyewe mbunifu?
 
Unaweza kuja na units mostly numbers ili tujue kama yupo below or above threshold...isijekuwa mwanzoni mlikua mnaenda 6 times na sasa imekuwa tatu unusu halafu wasema kiwango kimeshuka....
au tupe walau umri wenu, baada ya muda gani umeanza kuona changes since days za kuvunja chaga...
Mlikua mnatumia madawa na sasa mmeacha, je mumeo ana kisukari au lah, BP iko vipi???
Funguka kidogo
 
unaishi Tz halafu hujui kiswahili au mkimbizi

"Kuomba po" sio kiswahili kilichosanifiwa zaidi ya hapo inategemea rika na umri wa msikilizaji.
 
Mwambie awe anakunywa Guiness au Valeur kiwango kitarudi maradufu
 
badilisheni mazingira, diet na style, usikute kila keo kifo cha mende chumbani...... Mmekosa vionjo anajua utamshika hapa na pale basi...we mwenyewe mbunifu?

Kweli dada hapa hata tigo inahusika kabisa
 
our mind a sensitive 2changes ndo maana mhemko unakuwa mkubwa ukiwa na mtu mpya,so mfanye awe interest change places i.e not al the time in bed, google mambo ya foreplay ili ufanye mambo yawe interest
 
Miushauri mizuri kama nini, ngoja na mimi nijiibie maubunifu nikaboreshe uhusiano wangu ...
 
Mwanamke mjinga uivunja nyumba yake kwa mikono yake--aifola,if you don't want me someone will...Sande mjeda na fundi samwenga(now listening 89.7 FM)
 
Back
Top Bottom