Msaada, mwenza wangu 'kiwango' kimeshuka sana

Msaada, mwenza wangu 'kiwango' kimeshuka sana

true_diva

Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
53
Reaction score
25
Kichwa habari cha husika, hali ya mwenza wangu s nzuri kama zamani, alkua ananpga shoo mpaka naomba poo ... tumelzungumzia lakn yeye haoni kama ni tatizo, tusaidieni!
 
Mh,anaimwa mwingine,anae enda kuchukua vipimo
hospitali mwingine.
 
Njoo na ID yako ya ukweli ndo tutakushauri.....lol eti poo kwani alikua anasimamia baiskeli?
 
Kuomba poo ndo nini?

Hahahaaaaaaa! Hiyo ni kwenye MAREDE , ukiona umechoka na mpira unaenda kasi ndo unaomba POOO!!!!!!! Ili uvute pumzi kidogo na kurefresh machejo kabla hujababuliwa na wazingaji!!!!!!
 
Hahahaaaaaaa! Hiyo ni kwenye
MAREDE , ukiona umechoka na mpira unaenda kasi ndo unaomba POOO!!!!!!!
Ili uvute pumzi kidogo na kurefresh machejo kabla hujababuliwa na
wazingaji!!!!!!

asante lara...
 
Kuna mawili hapo

1. Mulika Mwizi!!!!!!!!!!! Mwenzio ana kifaa kipya anakishughulika akija kwako ni kukupaka shombo tu! Hamu yake yote kaimalizia kwa new item! Ndo maana hata unavomwambia hashtuki coz anajua anapoombwa poo huko kupya!!!!! Kwako ni kama anafuta ushahidi tu!

2. Anumwa mwenzio! Uje hii mibroiler broiler tunayokula ni hatari sanaa, sasa ukute ndo mambo ya muenda tezi na omo marejeo ngamani, ndo ngama ake imekaribia! Cha kufanya hapo ni kumpikia vyakula asili na mitishamba mitishamba, hata maombi pengine kafungwa isifanye kazi vizuri!!!!!!!

Kila lakheri!
 
Kichwa habari cha husika, hali ya mwenza wangu s nzuri kama zamani, alkua ananpga shoo mpaka naomba poo ... tumelzungumzia lakn yeye haoni kama ni tatizo, tusaidieni!

Ukijiita TrueDiva unatakiwa uwe unajua
namna ya kum motivate mwenzio aweze ku perform zaidi
unless hujui u diva ni nini..
 
Kuna mawili hapo

1. Mulika Mwizi!!!!!!!!!!! Mwenzio ana kifaa kipya anakishughulika akija
kwako ni kukupaka shombo tu! Hamu yake yote kaimalizia kwa new item!
Ndo maana hata unavomwambia hashtuki coz anajua anapoombwa poo huko
kupya!!!!! Kwako ni kama anafuta ushahidi tu!

2. Anumwa mwenzio! Uje hii mibroiler broiler tunayokula ni hatari sanaa,
sasa ukute ndo mambo ya muenda tezi na omo marejeo ngamani, ndo ngama
ake imekaribia! Cha kufanya hapo ni kumpikia vyakula asili na mitishamba
mitishamba, hata maombi pengine kafungwa isifanye kazi vizuri!!!!!!!

Kila lakheri!

B blesd lara1 ... ntafanyia kaz ushaur wako!
 
Mmh pole,mwambie afanye mazoezi ale vizuri na msiwe mnafanya mambo flani kila siku kama dinner. Pia kama ana mambo mengi sana(mawazo) mwambie apunguze.
 
Ukijiita TrueDiva unatakiwa uwe unajua
namna ya kum motivate mwenzio aweze ku perform zaidi
unless hujui u diva ni nini..

Ndo maana npo hapa, sjakamilika!How can I do that ... zaid ya 'motivation' nin zaid kfanyke?
 
I'm a victim ... thx anyway!

Ok sorry.

Inawezekana wewe ndio una matatizo,au yeye ndo ana matatizo.
Una mjua yeye kuliko anyone else hapa MMU.

Kwa upande wake inawezekana:-
1. Ana mawazo mengi sana,jaribu kumdadisi.
2. Ana matatizo ya kiafya,kisukari haswa huja na madhara hayo (kamuone doctor).
3. Ana matatizo ya kiafya,i.e NYAMA UZEMBE,CHIPS KWA SANA,...(mshauri aanze mazoezi)
4. Alikua anatumia additives flani hapo kabla na sasa hawezi kuzi afford tena,..
(mdadisi zaidi,ilikuaje hapo kabla akawa bingwa na sasa sio,chukua hatua.)
5. Ukichoka chakula,either haukili,au kama unanjaa sana basi utaonja kidogo tu.

kwa upande wako.
1. Labda ulikua mchokozi enzi hizo,hadi anakua hawezi jizuia ila kucheza ngoma (jidadisi)
2. Yawezekana umekua mchafu sana,say you stink to the extent ukiwa nae karibu anatamani uondoke haraka
(kama hapo juu,unajijua zaidi)
3. mmmmmmmmmmh,mmmm maybe umri wako umeeenda sana na anakuona kama nyanyake..... (you know better)

Generally,...

Kwa kiwango kikubwa,ni vigumu kupata ushauri hivi hivi tu.
Ni sawa na kwenda kwa daktari ukamwambia ugonjwa wa mwenzio afu ukategemea
akupe tiba ya uhakika.

Ongea na mwenzi wako,mdadisi ujue nini chanzo.
From there utapata ushauri wa nini cha kufanya.

Kushindwa ku-perform on bed by it self sio ugonjwa.
Ila sababu ya kushindwa ku-perform ndio ugonjwa.

Hapa unaweza ambiwa tumieni viagra,kumbe jamaa ana mawazo kede kede.
Au wewe mwenyewe ukienda lala unanuka mdomo kweli,au kwapa sio kwapa.

Jisome mwenyewe,msome mwenzio,njoo upate ushauri.
 
Ndo maana npo hapa, sjakamilika!How can I do that ... zaid ya 'motivation' nin zaid kfanyke?

sikiliza ushauri unaopewa hapa
mbadilishie diet
uliza diet sahihi kwake..kwa mzizimkavu na wengine hapa
 
Kwanini usiongee naye?
Do it in a way haita mfanya ajisikie vibaye; be a concerned n loving wife/girlfriend.
 
Ushauri mzuri

Ok sorry.

Inawezekana wewe ndio una matatizo,au yeye ndo ana matatizo.
Una mjua yeye kuliko anyone else hapa MMU.

Kwa upande wake inawezekana:-
1. Ana mawazo mengi sana,jaribu kumdadisi.
2. Ana matatizo ya kiafya,kisukari haswa huja na madhara hayo (kamuone doctor).
3. Ana matatizo ya kiafya,i.e NYAMA UZEMBE,CHIPS KWA SANA,...(mshauri aanze mazoezi)
4. Alikua anatumia additives flani hapo kabla na sasa hawezi kuzi afford tena,..
(mdadisi zaidi,ilikuaje hapo kabla akawa bingwa na sasa sio,chukua hatua.)
5. Ukichoka chakula,either haukili,au kama unanjaa sana basi utaonja kidogo tu.

kwa upande wako.
1. Labda ulikua mchokozi enzi hizo,hadi anakua hawezi jizuia ila kucheza ngoma (jidadisi)
2. Yawezekana umekua mchafu sana,say you stink to the extent ukiwa nae karibu anatamani uondoke haraka
(kama hapo juu,unajijua zaidi)
3. mmmmmmmmmmh,mmmm maybe umri wako umeeenda sana na anakuona kama nyanyake..... (you know better)

Generally,...

Kwa kiwango kikubwa,ni vigumu kupata ushauri hivi hivi tu.
Ni sawa na kwenda kwa daktari ukamwambia ugonjwa wa mwenzio afu ukategemea
akupe tiba ya uhakika.

Ongea na mwenzi wako,mdadisi ujue nini chanzo.
From there utapata ushauri wa nini cha kufanya.

Kushindwa ku-perform on bed by it self sio ugonjwa.
Ila sababu ya kushindwa ku-perform ndio ugonjwa.

Hapa unaweza ambiwa tumieni viagra,kumbe jamaa ana mawazo kede kede.
Au wewe mwenyewe ukienda lala unanuka mdomo kweli,au kwapa sio kwapa.

Jisome mwenyewe,msome mwenzio,njoo upate ushauri.
 
angalia vyakuka unavyompikia.punguza kukaanga kila kitu.mlishe maparachich,supu ya samaki na dagaa wabich,ulez,mboga za majani,matunda.
apunguze stress za kaz au familia.usipende kumlalamikia sana kuhusu tatizo hilo atakiwa inferior.mazoez
 
Back
Top Bottom