Msaada mwenyeji wa Chunya, mtaalamu wa madini ya dhahabu

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,725
2,000
Habari za shamrashamra za mwisho wa mwaka?

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,

Natafumta mkaazi wa wilaya ya Chunya hasa kutoka eneo la machimbo ya dhahabu, nina mahojiano madogo na yeye kuhusu biashara, ambapo hata yeye anaweza kuwa partner pia.

Mwenye uelewa tafadhali ani pm kwa mazungumzo zaidi.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,188
2,000
Mkuu...ukipata nijulishe PM please...maake nami nataka sana hiyo biashara.
....ngoja najaribu kumtafuta mtu yuko kule ingawa simu take huwa Mara nyingi haiko hewan.
 
Shwari mkuu ukimpata uniarifu mkuu.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,188
2,000
Poa mkuu.
Kwani wewe uko wapi mkuu....maake tunaweza kutana tukaunganisha mawazo kuhusu hili jambo-maaka ninekana kuna kitu tunakilenga wote ila tumekosa information.
...mimi niko dar kama hautajali...let's meet and discuss
 
Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,555
2,000
Habari za shamrashamra za mwisho wa mwaka?

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,

Natafumta mkaazi wa wilaya ya Chunya hasa kutoka eneo la machimbo ya dhahabu, nina mahojiano madogo na yeye kuhusu biashara, ambapo hata yeye anaweza kuwa partner pia.

Mwenye uelewa tafadhali ani pm kwa mazungumzo zaidi.
Kaka ungetoa brief kidogo tujue unataka nini, unaweza saidiwa hata na mtu ambaye hayuko chunya kwa sasa
 
Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,555
2,000
Nataka kujua kuhusu biashara ya kudhamini uchimbaji mpaka kuipata dhahabu yenyewe.
Hapo umesomeka kaka, vipi una mtaji mkubwa?, kama yes, nikuunganishe Mozambique?, genuine deal na utadeal na trusted Tanzanians
 
jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,725
2,000
Hapo umesomeka kaka, vipi una mtaji mkubwa?, kama yes, nikuunganishe Mozambique?, genuine deal na utadeal na trusted Tanzanians
Hapana boss,mtaji wangu ni kidogo tu,napia bora kuanzia hapa nyumbani nilipo pazoea kwanza,then baadae nifikirie mbele zaidi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom