kawaida browser yao inatambua os unayotumia kabla ya kudownload na kukupeleka kwenye setup husika, unaweza kuwa unadowload .apk badala ya .exe, pia kama ni .exe hakikisha unajua os yako ni 32bit au 64bit kabla ya kudowload.
Kama unataka kudownload kwenye simu then uinstall kwenye Pc, jaribu kudownload iliyo katika mfumo wa .zip ukishaiingiza kwenye pc una unzip then unaendelea mbele.