Msaada, mwenye ramani ya viwanja vya mradi Gezaulole block 24

Msaada, mwenye ramani ya viwanja vya mradi Gezaulole block 24

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,505
Reaction score
6,904
Kama unayo ramani naomba uje PM inahitajika haraka, asanteni

cc Shark, Kingkong III
 
Kama unayo ramani naomba uje PM inahitajika haraka, asanteni

cc Shark, Kingkong III

Nakushauri nenda gezaulole pale kijijini kuna vijana ndio kazi zao wana ramani zote ila si zakuuza wanakuonyesha eneo lako unawaachia kitu kidogo.... kamuulizie jamaa anaitwa Kitoji kama sikosei alinitafutia plot yangu. .nikipata namba yake nitakutupia
 
Back
Top Bottom