Msaada: Mwenye nyimbo za kampeni za CCM

Wapiga kura hawako mijini na kwenye mitandao ya kijamii tukutane October.

Ipo siku hao wajinga wa vijijini masikini wasio na elimu na uelewa wakija kujanjaruka na kukataa kofia, tshirt ,kanga na mchele wenu ndo itakua kiama chenu.Na hiyo siku yaja.
 
Ipo siku hao wajinga wa vijijini masikini wasio na elimu na uelewa wakija kujanjaruka na kukataa kofia, tshirt ,kanga na mchele wenu ndo itakua kiama chenu.Na hiyo siku yaja.

Nani kakwambia huku vijijini kuna wajinga?
 
Nani kakwambia huku vijijini kuna wajinga?

Angalia sehemu ambazo ccm inakubalika then zilinganishe kimaendeleo na sehemu ambazo ccm haikubaliki utagundua(kama uko objective zaidi sio kimihemko) ujinga ndio mtaji wa ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…