Msaada: Mwenye notes za Physics, Alternating Current

Msaada: Mwenye notes za Physics, Alternating Current

Juan junior

Senior Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
119
Reaction score
20
Samahani kwa mwenye notice nzuri za altenarting current( a.c) anisaidie, natangulza shukrani
 
duu umenikumbusha kipindi nipo advance hicho kipengele cha ac ni moja vitu ambavyo vilinishinda kwenye physics.

kwani we uko wapii?... kama unaweza tafuta pam la mwalimu mmoja anaitwa muddy, sijui saiz yuko wapi ila ndani ya dar es salaam...huwa anafundisha sana.

Hizi tuition za physics.
 
S Chand Is best maswali necta wanatoa kule ila hakikisha unasoma ukiwa na Syllabus ili usijekuoverload mambo
 
tafuta resnick & halliday fundamental of physics.. humo kuna full a.c
 
Madogo acheni mambo ya ajabu,huku sio sehem ya kutafta notc
 
Back
Top Bottom