Msaada juu ya biashara ya jumla ya vitu vya matumizi ya nyumbani

joytj

New Member
Dec 22, 2018
1
1
Msaada kwa mtu mwenye uelewa wa biashara ya vitu vya jumla (matumizi ya nyumbani) namaanisha duka la jumla,.

Naomba muongozo kwa anayefanya au mwenye ufahamu na hii biashara, nilipo ni mkoani natamani kuifanya hii biashara.

Nahitaji nipate mwangaza ni wapi nianzie, mtaji wake, ununuzi wa bidhaa unakuwaje.
 
Msaada kwa mtu mwenye uelewa wa biashara ya vitu vya jumla (matumizi ya nyumbani) namaanisha duka la jumla, naomba muongozo kwa anayefanya au mwenye ufahamu na hii biashara,nilipo ni mkoani natamani kuifanya hii biashara nahitaji nipate mwangaza ni wapi nianzie, mtaji wake, ununuzi wa bidhaa unakuwaje
Nasubili namm Mawazo ya wadau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom