Msaada mwenye IPTV links za Azam Tv

fagix

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
739
552
Habari za kazi wakuu, na poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
naomba kama kuna mtu ana links za azam tv naomba anitumie inbox
 
Mkuu naniamni sina tatizo na mtu na sifanyi utaperi sasa naogopaje kuweka namba yangu hapa hao wanoogopa ndo wakuwaogopa kama ukoma
unapotoa namba yako kwa forums uni sawa na kuweka wazi ID yako, ni risk kwa usalama wako wa mtandaoni
 
*Kwa anaependa Kutazama tv kweny simu*

*Hii ni link ya application ya tv inayoonyesha chanel za azam tv na Dstv karubu zote na startimes buree haina malipo ya kila mwezi, ukipenda download sasa ina zaid ya channel 100

Free IPTV
 
Sijajua ni internet ya mtamdao ninaotumia au ni simu yangu,naona hii APP ya FREE IPTV inagoma sana kuonesha baadhi ya channel...kwangu sioni AZAM SPORTS HD WALA ZILE ZA SUPERSPORTS tofauti na mwanzoni zilipowekwa Links na nikai-download
Habari za kazi wakuu, na poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
naomba kama kuna mtu ana links za azam tv naomba anitumie inbox
*Kwa anaependa Kutazama tv kweny simu*

*Hii ni link ya application ya tv inayoonyesha chanel za azam tv na Dstv karubu zote na startimes buree haina malipo ya kila mwezi, ukipenda download sasa ina zaid ya channel 100

Free IPTV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njee ya mada wakuu,
Mwenye link ya kupata driver booster ya uhakika ambayo ni free anisaidie.
 
Back
Top Bottom