Msaada mwenye information na contact za makampuni Rwanda na Southern Sudan

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,090
824
Habari wakuu,
mimi ni mhandisi wa umeme(electrical engineer) nimemajor kwenye power system engineering (switch gear and protection ,electrical machines ,power electronics ,power system analysis +electrictal distribution and transmission).sina muda mrefu kwenye hii industry ni mwaka toka nimalize nimefanya kazi kidogo katika process industry na sasa nafanya kazi za designing(detail design,preparation of boq, technical assistance to various dept of the company and fill technical schedule in tender document) .
Ninaomba kama kuna mtu anaweza kuwa na mawasiliano na waajiri au recruitment agent wa rwanda na southern sudan anipatie maana nijaribu huko katika nyaja hii.
Nawasilisha asanteni.
 

Dolby

New Member
Oct 3, 2011
4
0
Mkweli pole na karibu katika uwanja wa mapambano. Wiki kadhaa zilizopita niliona tangazo la kazi za Fani yako kwenye ubalozi wa USA Rwanda. So kama vipi chonga na information officer wa US Embassy pale Msasani huenda ukajikwamua na hiyo nia yako!!

Nawasilisha,
Dolby.
 

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,090
824
Mkweli pole na karibu katika uwanja wa mapambano. Wiki kadhaa zilizopita niliona tangazo la kazi za Fani yako kwenye ubalozi wa USA Rwanda. So kama vipi chonga na information officer wa US Embassy pale Msasani huenda ukajikwamua na hiyo nia yako!!

Nawasilisha,
Dolby.

asante sana mkuu ntajaribu kuzigoogle hiz o info. Ubarikiwe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom