Msaada: Mwenye crack ya GSM flashing and unlocking software

Dec 15, 2017
8
1
Wanajf naomba Mwenye crack ya Gsm flashing and unlocking software inayofanya kazi vizuri all in one tool 2017 atupie humu jamvin
 
It is almost ina mb 400 sasa kwa nini usii download?mtu ku upload mb 400 zote hizo.....endelea kusubiri....
 
Wanajf naomba Mwenye crack ya Gsm flashing and unlocking software inayofanya kazi vizuri all in one tool 2017 atupie humu jamvin
Nnayo ile yenye icon ya paka na ina z3,aladin,eagle eye(miracle),miracle box n.k.....ila ku i upload ndio kazi mzigo inapiga kama kawa.
 
Nnayo ile yenye icon ya paka na ina z3,aladin,eagle eye(miracle),miracle box n.k.....ila ku i upload ndio kazi mzigo inapiga kama kawa.
Ya paka ninayo nilitaka Gsm ya2017 all in one tool.nliidownload then nikafanya installation lakini haifanyi kazi ndiyo maana nikaomba mwenye NATO inayopga kazi anisaidie hata akinipa link ambapo nitaipata inayofanya Nazi nitashukuru
 
Kwa unlocking software tafuta NCK MTK FULL NO HWID NI CRACK NZURI SANA
 
Back
Top Bottom