Msaada mwenye contact za lubondo nikapumzike kidogo

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Msaada tutani mwenye contact za lubondo au aliywahi kwenda lubondo anipe abc na ushauri kama panafaa kwenda kupumzisha akili kidogo au ni changamoto
 
Nenda mpaka Geita au Chato,wenyeji ndiyo watakupa taarifa.
 
Ila ningepata contact za pale ningekuwa nimepata msaada mkubwaa maana kila ukigoogle unakuta mauzauza tu
 
Mkuu kama unaenda kujimpuzisha lubondo kutoa stress, wewe nenda tu 😅 ila usisahau wengine mkuu, hivi hauna ndololo kidogo hapo unitoe
 
Msaada tutani mwenye contact za lubondo au aliywahi kwenda lubondo anipe abc na ushauri kama panafaa kwenda kupumzisha akili kidogo au ni changamoto
Matumizi ya internet yamekushinda kabisa, akili uliyotumia kutuma hii msg humu ndio akili ungeitumia kugoogle ungepata kila kitu Ila umeamua kutohusisha ubongo wako na uwezo wako.
 
Shukran nimepata contact ila pamejaa full mpk tarehe 3.tanzania ya leo tamu hongera kwa mama watu wanaishi
 
Ila ningepata contact za pale ningekuwa nimepata msaada mkubwaa maana kila ukigoogle unakuta mauzauza tu
Hakuna cha mauza uza mkuu, ingia tovuti ya TANAPA then chukua contact zao, ukizikosa za Rubondo basi utapata za HQ, wasiliana nao moja kwa moja watakupa muongozo.

ukikwama nitafute.
 
Shukran nimepata contact ila pamejaa full mpk tarehe 3.tanzania ya leo tamu hongera kwa mama watu wanaishi
kama lodge, hostel na bandas zimejaa, unaweza wa contact ata ukaenda kupiga hema maana sizan kama sehemu za campsite zimejaa.
vacation siyo lazima ulale lodge ama hotelini, campsite huwa ni exposure moja nzuri sana.
 
Huyo jamaa atakuwa mshamba flani hana lolote wala nini ni mojawapo wa buku saba wa lumumba
Shukran nimepata contact ila pamejaa full mpk tarehe 3.tanzania ya leo tamu hongera kwa mama watu wanaishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom