Naomba mwenye Charger ya MacBook hiyo hapo aniuzie kwa bei ya kirafiki ikiwa used poa pia maana charger yangu imeharibika
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Sawa nitajaribu maana Mpya bei zao ni 120,000 Sasa sijui huko.Nenda kariakoo kwa Duka la waganda Karibu na China plaza
Huwezi ukawa mtu wa mac halafu unaogopa gharamaSawa nitajaribu maana Mpya bei zao ni 120,000 Sasa sijui huko.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ahahaha Mkuu kuna kipindi mambo yanaweza yakawa sio mazuri au ni umepewa tu kwa hiyo inawezekana.Huwezi ukawa mtu wa mac halafu unaogopa gharama
W Ngap?Naomba mwenye Charger ya MacBook hiyo hapo aniuzie kwa bei ya kirafiki ikiwa used poa pia maana charger yangu imeharibika View attachment 2453031View attachment 2453033View attachment 2453034
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
acha kulialia, Mac haikufai weweSawa nitajaribu maana Mpya bei zao ni 120,000 Sasa sijui huko.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Njoo na 85 inbox kesho ila utakuja kariakoo
Ahsante Mkuu nashukuru, nitaenda kucheki.Kariakoo mwaka jana nilinunua 45k mpya kabisa japo sio Og ila inafanya kazi vizuri, Nenda Opposite na Mkombozi bank
Daah Sawa mkuu, ingekuwa karibu ingekuwa poa sana.Nipo sehem lkn nje ya nchi zip used zinatupwa chin bei yake kwa pesa y uko ni sawa na elf tano. Ila duu haitasaidia kitu
Mkuu naona umefunga pmMzigo huu hapa lete manenoView attachment 2454045View attachment 2454046