Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Jun 12, 2012 #2 uko mkoa gani? kama unataka kununua kabisa si uende kwenye maduka ya pc?
Hamsel Senior Member Nov 15, 2011 116 83 Jun 12, 2012 Thread starter #3 Crashwise said: uko mkoa gani? kama unataka kununua kabisa si uende kwenye maduka ya pc? Click to expand... ni ghali mno madukan so kama unayoniuzie me nko dar
Crashwise said: uko mkoa gani? kama unataka kununua kabisa si uende kwenye maduka ya pc? Click to expand... ni ghali mno madukan so kama unayoniuzie me nko dar
Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Jun 12, 2012 #4 nitaangalia kesho kesho kama win 7 home ninayo nakumbuka nina win 7 pro kama nitakuwa nayo nitakutumia ila utalipia gharama za kutuma..
nitaangalia kesho kesho kama win 7 home ninayo nakumbuka nina win 7 pro kama nitakuwa nayo nitakutumia ila utalipia gharama za kutuma..
Hamsel Senior Member Nov 15, 2011 116 83 Jun 12, 2012 Thread starter #5 Oky nashukuru kwa msaada wako mkuu.
dlink Member Nov 19, 2011 70 18 Jun 12, 2012 #6 tarizle said: Nahitaji cd ya window 7 home basic 64 bit ili nifanye installation kwenye laptop ni vzr ukiniuzia kabisa...Namba ya simu ni 0652827198... Click to expand... nipo dar, hiyo cd 32/64-bit zipo so unaweza nichek maeneo ya Mlimani city/Lufungila ndio office yangu ilipo. 0769741223 unaweza SMS hapo twende sawa
tarizle said: Nahitaji cd ya window 7 home basic 64 bit ili nifanye installation kwenye laptop ni vzr ukiniuzia kabisa...Namba ya simu ni 0652827198... Click to expand... nipo dar, hiyo cd 32/64-bit zipo so unaweza nichek maeneo ya Mlimani city/Lufungila ndio office yangu ilipo. 0769741223 unaweza SMS hapo twende sawa
leh JF-Expert Member May 30, 2012 827 363 Jun 14, 2012 #7 kama una dvd empty na nauli utarejesha nitakuletea hiyo hiyo home basic sp1. usikubali kununua kama haina key ambayo ni unactivated na wenye maduka ya pc ndo wana uwezo wa kuwa na hizo keys ni pm
kama una dvd empty na nauli utarejesha nitakuletea hiyo hiyo home basic sp1. usikubali kununua kama haina key ambayo ni unactivated na wenye maduka ya pc ndo wana uwezo wa kuwa na hizo keys ni pm