uko sawa kabisaaa mkuu jf iwe hatua ya mwisho kwenye kutatua tatizo na sio hatua ya kwanza... miaka ijayo utashangaa mtu anaomba ushauri ndugu yake anakaribia kukata roho so afanyaje
kweli kbsa mkuu.na katika hili,Endapo akajaribu kufata ushauri wa watu wengine humu bac ataua mtoto.mtu unawahi kwanza hospital upate ushauri wa daktari ndo mengine yafate.ila humu ndani kuna majb mengine ukisoma unaweza kuzimia kwa kucheka mkuu.duhuko sawa kabisaaa mkuu jf iwe hatua ya mwisho kwenye kutatua tatizo na sio hatua ya kwanza... miaka ijayo utashangaa mtu anaomba ushauri ndugu yake anakaribia kukata roho so afanyaje
SAUTI YAKO hivi mtu anaweza akawa katika hatari ya afya halafu una log in JF kupata ushauri? Tanzania huduma za afya zimesambaa kila kona... Ni ujinga ikiwa umepata shida inayohitaji mahitaji ya dharula, halafu wewe waingia mtandaoni kuuliza maswali...
Mwanangu wa miaka mitatu amemeza kabolt kadogo, nimejaribu kumshindilia ugali ili ajisaidie bila mafanikio. Msaada wapendwa kabla sijampeleka hospitali kesho.
duh!hatareeeeeeeeeeee!!Mwambie ameze na nut kabsa picha ifike mwisho
jamaa kaomba ushauri sema watu wa hapa hajamjibu vizur na anajua hapa ndo hom pa ma great thinker ss mtu anasema mpe spana pamevamiwa hapa hamna kitu.
Hahahahahahaha mpe gilisi au oil chafu ikalainishe iteleze itoke[/QUOTE
acha ugoro wew
Mwanangu wa miaka mitatu amemeza kabolt kadogo, nimejaribu kumshindilia ugali ili ajisaidie bila mafanikio. Msaada wapendwa kabla sijampeleka hospitali kesho.
Acha umaku ---- ww unaushauri mmbaya hvyo kwenye matatizo ya wengine,ebu kuwa japo kidogo.