Mlishe spana
Mpe jina la USAIN
hivi jamani ishu kama hii ndo ya kuiletea utani namna hii?
nashangaa sana Pota mtu anashida serious watu wanampa ushauri wa kipuuzi.
Mlishe spana
Wewe unadhani watu wote humu wana akili timamu kama wewe...wengine ni vichaa huwa wanaiba computer za waangalizi wao na kupost upuuzi...humu..