Msaada: Mwanangu anasumbuliwa na vipele

Jajosa

New Member
Aug 4, 2020
3
2
Habari dr?

Mwanangu anasumbuliwa na vipele vina miezi mitano (5) sasa mahosptal tumeenda bila mafanikio mpaka kwa specialist wa ngozi akasema vinasabibishwa na vrusi na pia dawa ni kuchoma au kupaka lakini hakuna mabadilik naomben msaada hata mawazo

IMG_20200803_202504_849.jpg

View attachment 1527975View attachment 1527976
Mkuu pole sana Tafuta Asali safi isiyo chakachuliwa muoshe kwa maji ya uvuguvugu ya chumvi ya mawe kisha mapanguse kwa taulo kisha mpake Asali isiyo chakachuliwa asubuhi mchana na usiku atapona maradhi yake na asali ingine umpe ale kijiko 1x2.
 
Back
Top Bottom