Siwezi kuuza mkuu,Uza smartphone bakia na kitochi au tumia computer mkuu
Toa ushauri mkuuMtoto umleavyo ndivyo akuavyo si ulitaka chai iweje ulalamike unaungua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanangu wote6 nakaanao mwenyewe...sipeleki watoto kwa bibi..acha apumzikempeleke kwa bibi yake