msaada...mwanamke wa namna hii


asante kwa ushauri mzuri
 

kwahiyo ushauri wako nitongeze nyie wazee? ambao mmeshatumika? wew nipe ushauri wa kuwatreat hawa waache kutoa harufu
 
Mim sitak shda jion nakaaga pale benjamn p tower posta nawasubiria wa IFM,UCC nikichoka naenda akiba nawa subir wa DIT,CBE nachagua warembo wale wa uchororo kwa mfuga mbwa,mtogore,mikono nyuma sitak
 

Ukikutana nao tena geto mkuu ziba pua mwanzo mwisho hutackia harufu milele
 

kha! yaan unavyokutana nao, mnasogeleana na kutongozana usisikie harufu ya mdomo....mkiingia room ndo unaisikia na nyinginezo! nina wasiwasi na VIATU vyako! nikizingatia pia kwann wewe tuuuuu! ohohoooo!
 
Lool 7 serious ???? Kama vipi pumzika usijihusishe nao kwa muda labda alergy itaisha af ukirudi jarib kusajil watu wazima kwanzia 27yrs kwenda age yako - Labda ulifanya usajil wa under 18yrs japo nao skuiz wanaosha fresh sana tu - Lol saba wengi mno lengo lilikuwa nini hasa....!
 
Mpigishe mswaki afu kwenye papuchi osha na dodoki na omo..atakuwa saaaaaafiiiii
 
We huna bafu ukifika ingieni bafuni kwanza lol
 
Wanasemaga ndege wafananao ndiyo huruka pamoja. Labda na wewe unanuka ndiyo maana unawapata wa namna hiyo. Hata hivyo ni maumbile tu inatakiwa uvumilie au usepe kimya kimya, kwani hata wao pia wanatuvumilia sana kwa mengi tu.
 
Wanasemaga ndege wafananao ndiyo huruka pamoja. Labda na wewe unanuka ndiyo maana unawapata wa namna hiyo. Hata hivyo ni maumbile tu inatakiwa uvumilie au usepe kimya kimya, kwani hata wao pia wanatuvumilia sana kwa mengi tu.

ngoja nianze kutongoza wanawwke wa kuanzia miaka 24 mpaka 27 harafu taleta feedback hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…