Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Maumbea umbea ni huku bongo tu japo sio wote, wenzetu waarabu na wazungu hawanaga hayo ya umbea umbea
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Eh msipo pewa mna lalamika, mkipewa bado mna lalamika.
Mbona hauja lalamika kwamba mumeo ana kupa sanaa Matunzo akupe muda uhangaike mwenyewe yaani asikupe matunzo hata kwa mwezi mmoja hivi ili apumzike yeye. ?!
 
Huna Msaada mwingine kwake zaidi ya hiyo sex ndio maana akija kwako ni hivyo tu. Karibu kujiangalia kutakuwa kuna sehemu haupo sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom