Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Akusikilize kwa elimu ipi uliyo nayo?
 
Hakupendi huyo au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute
Wabovu wa sex ndo zao stori nyiiiiiingi ub..oo udinde , mwamba muda wa kuwasema majirani kaukosa

Anataka kuzungumza nini kila kitu amekili anapata
 
Hajitambui labda ana tatizo la afya ya akili, wengine ndio tunapenda kila wakati kupelekeshwa na mshedede
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Hongera umepata MUME hasiye chepuka, akianza kuchepuka hatokugusa Hadi umkubushe wewe
 
Unajua ukishataja Mume ina maana among all ulimuona nd9 anakufaa, hukufanya home work yako vizuri, sina kweli cha kushauri, ukiona inatishia usalama wako usingoje kufa, unaweza mudu maisha bila yeye.
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Uliolewa ili upige story? We kiazi kweli kweli.
Ukiolewa , kubali kulala bila nguo. Anytime toa huduma
 
Mkizidisha urafiki Mwisho utampanda kichwani inaonekana mumeo ni mtu wa misimamo ashakutambua kwamba akikuletea mazoea hata sex utaanza kumpangia ratiba hamchekewi, kuishi na ninyi inabidi uwe na tahadhari bila hivyo lolote laweza kutokea

Jana kuna Mzee kachoma nyumba yake kamletea mkewe mazoea mazoea wamezaa mtoto wa Mwisho eti Mwanamke hataki kumpa anamwambia mtoto sio wa kwake alafu ni mke wake wa Ndoa, Mzee Marwa kachoma nyumba Moto hadi imekua majivu kwa hasira
😀😀😀 huyu Marwa ndiyo mwanaume.... Hajawachomea ndani?
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Unataka muongeee nini kwa mfano??
Kwan
Mipango ya kimaisha ndani haiendi???

Kuna wanaume...hawanaga utoto!!! Kukaa ..mkacheka ..matani..na urafiki...kwao ..haiwez tokea!!!!

KIPI KIKUBWA KWAKO??

MKAE MUANGALIANE...MCHEKE ...MCHEZEEE
WEEE
AFU JOGOO ASIPANDE MTUNGI...

AMA JONGOO APELEKE MASHAMBULIZI....+++NO STORIES???
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Mshukuru Mungu kwa bahati hiyo.
 
Hamia kwangu tule mema ya nchi,utapata unachokitaka,kwanini uteseke wakati Mimi nipo
 
Nilichoelewa mimi mume wako amebeba majukumu mawili lakini wewe unataka matatu.

Yeye ana
1. Kutunza familia
2. Tendo la haki

Wewe unakosa
3. Ukaribu, kubembelezwa, kudeka, na mengineyo yoote yaendanayo na haya.

Hatari yake ni kwamba akitokea mtu yeyote akakupa attention mwamba amekwisha.
Ndivyo mioyo ya wanawake inafanya kazi.
Kwa kilio cha moto anaopelekewa ikatokea bado anachepuka basi malalamiko yake hayatakuwa ya kweli.
 
Hilo tatizo wa kulimaliza ni wewe mwenyewe. Unapaswa umjenge kisaikolojia. Inawezekana kuna namna hujali hisia zake unafanya akukamie. Mjengee mzingira ya stori na kuwa karibu naye kwa mazingira rafiki. Ili, stori na kukaa pamoja viwe mbadala wa sex.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom