Msaada muhimu wa computer backup

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Wakuu computer yangu ilisumbua wndow nikaipeleka kwa rafk yangu ifanyie instalation ya wndow kwa bahat mbaya kafomart local disc (D) iliyokuwa na data muhimu..
Nimejarb kubackup data zangu zinagoma! Naomba msaada wenu wakuu kama kuna alternative nyngine ya kupata data zangu!
 
labda sijaelewa swali...ila nahisi umeongea kama umefanya backup baada ya ku format pc..!! sasa uliback up nini maana ukishaformat maana yake nothing remains?? sijawah ona hii.. labda uweke wazi hili kwanza...ila ki kawaida back up huwa inafanywa kabla ya ku fomart au kufanya kitu chochote ambacho ni hatarishi..na kwa mtumiaji makini wa pc siku zote ni lazima uwe na backup ya data zako muhimu wakati wote hata kama pc unaiona ipo kwenye hali nzuri cause hivi ni vifaa..anything can happen anytime...so kama ulifanya backup kabla ya kuformat then inategemea hizo data ulibackup vipi...then unarestore au copy back... ila kama hukufanya backup maana yake zimekwenda na ili kuzipata ni lazima utafute recovery softwares ndo unaweza kupata data zako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…