sawa ndugu yangu hiyo rupia nampa nani?? kama kuna mtu anaweza kutusaidia na huyo daktari anayehusika na mambo kama hayo hasa atakayefanya hiyo operation rupia kitu gani
pesa inatafutwa
Habari za jioni,
nina ndugu yangu amelazwa Kibasila tokea juzi akitokea Temeke kwa ajili ya operation ya haraka lakin tokeo tumehamia muhimbili hamna kilichofanyika. Hamna vipimo, wala hiyo emergency operation.
Mgonjwa anazidiwa sana na tumeanza kuogopa yaan afadhal alivyokuwa Temeke .
Naomba daktar ambaye yupo muhimbili atusaidie ku speed up hii process hata kumpata daktar atakayefanikisha operation. Mgonjwa ana maumivu makali sana. Wamesema ni henia ila iko na kitovu kwa hiyo ni hatari kwahiyo ni operation kubwa na mfumo wa chakula haufungi vizuri. Mimi sio mtaalamu sana .
Tafadhali sana jamani..
Desparate family
Hii ndio serikali ya kasi mpya mkuu. Pole sana mkuu pesa si kitu kweli nenda kwa nesi au daktari yeyote humo kwenye wodi aliolazwa mpe elfu 50.utaona maajabu ya operation ya haraka.
nataka daktari, usinielewe vibaya tafadhali
Hapo muhimbili kuna Huduma ya ippm ambayo unalipa zaidi na unachagua daktari unayemtaka kukuhudumia. Na ward unahamishiwa kule ghorofa ya mwisho. Sio rushwa ila ni utaratibu ambao upo kisheria na risiti zako unapewa. Unaweza hiyo Huduma?
Kwani Muhimbili hakuna utaratibu rasmi wa kuoffer hiyo huduma?
Kwanini mgonjwa au ndugu zake wasipate taarifa hiyo palepale Muhimbili?
Je, nini hatma ya asiyeweza huduma hiyo hapo Muhimbili?
Kwani Muhimbili hakuna utaratibu rasmi wa kuoffer hiyo huduma?
Kwanini mgonjwa au ndugu zake wasipate taarifa hiyo palepale Muhimbili?
Je, nini hatma ya asiyeweza huduma hiyo hapo Muhimbili?
mgonjwa ni emergency hivyo ndo tulivyoambiwa temeke , na hatukupitiliza theatre na hakupata huduma mpaka jumanne toka Ijumaa. kwa sababu jumamosi, jumapili na jumatatu zilikuwa siku kuu. na hali yake si nzuri kwa kweli.Utaratibu upo huwa hautangazwi hadharani ndio maana wananchi hawaujui. And I think mgonjwa wake sio emergency au urgent, in those conditions wagonjwa huwa wanahudumiwa kuanzia EMD anapitiliza theatre.
nataka daktari, usinielewe vibaya tafadhali
mgonjwa ni emergency hivyo ndo tulivyoambiwa temeke , na hatukupitiliza theatre na hakupata huduma mpaka jumanne toka Ijumaa. kwa sababu jumamosi, jumapili na jumatatu zilikuwa siku kuu. na hali yake si nzuri kwa kweli.
na leo vipimo havionyeshi vya muhimbili havionyeshi ugonjwa wakati alianza regency vipimo vilionyesha uvimbe lakini hawaukubali na wamesema hawaoni ugonjwa . hatujui sasa.........