IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Kutolewa Roho Na Nan? Umeshajitambulisha. What I Know Ukifika Kujitambulisha Yote Utaypata Huko Na Inategemea We Umejipanga Vip, Mkifika Huko Mtaulza Mahar Na Utapangiwa N Kias Gan. Then Mtapanga Utapeleka Lin, Kama Umejipanga Waweza Acha Pia Kidogo, Na Inategemea Na Kabila Yan Mila Zenu Na Zao
Heshima mbele wakuu.
Naomba kujua toka tarehe ya kujitambulisha na kupangiwa mahali. Unachukua muda gani mpaka kuipeleka mahali ukweni
maana nataka kutolewa roho kipande hiki.
mwaka mmoja nahisi
Bado swala la mahari lipo Tanzania??
mbona ni mahari ya ndizi,mwaka?
mimi ndo sijui nini wewe miss chagga