Usipoziba huo uwazi inayotumia kupanda, itaendelea kupanda na ipo siku haitarudi kabisa. Na mwanaume testis zake hazitakiwi kuwa ndani kwa sababu zinaaffect pia sperms production...Mungu hakuziweka chini huko nje kwa bahati mbaya ndio maana wale wanaozaliwa ambao wanakuw na undescended testis lazima zishushwe otherwise watapoteza uanaume wao.4yrs si conclusion ya kukufanya wewe uone kuwa hiyo op. Haina madhara ama la,ni vizuri kutumia dawa za asili kuliko op. mkuu.
Hujaeleza vizuri tatizo lakoNi mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Hii alichelewa sana kuishusha na bora waliitoa. Huwa zinacomplication zake pia zikibaki ndani, zinaweza badilika na kuwa kitu kingineUnaweza kuwa sahihi sijui Sana kuhusu hili ila mbali na huyu mtoto wa brother nae alifanyiwa akiwa form 1 akiwa na miaka 13, mpaka sasa ni mtu nzima miaka 28 na tayari ana mtoto. Japo yeye walisema imeshakufa hivyo waliitoa kabisa ikabaki 1
Vituo vingi vya afya vina MaCO ambao I can say they have limited medical knowledge kwenye kudiagnose mambo. Case serious go direct to hospitali kubwa.Ni mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Yap, aligundulika na hiyo shida akiwa mdogo ila kuna uzembe ulitokea mpaka akaja kufanyiwa akiwa form 1 ndo wakasema imeshakufa.Hii alichelewa sana kuishusha na bora waliitoa. Huwa zinacomplication zake pia zikibaki ndani, zinaweza badilika na kuwa kitu kingine
basi ukoo wenu una vimelea/vinasaba vya tatizo hilo.Yap, aligundulika na hiyo shida akiwa mdogo ila kuna uzembe ulitokea mpaka akaja kufanyiwa akiwa form 1 ndo wakasema imeshakufa.
WA kwangu Mimi nilipogundua tu nikampeleka wakaicheck wakasema ni nzima wakajaribu kuishusha kwa njia ya kawaida( kuna dawa alipewa) ikashindikana ndio wakatumia option ya operation sasa wakaishusha na iko fresh tu.
Acha maswali mengi kama polisi.Mtoto wa kike au wa kiume?
Sasa hivi ameshaolewa?Bora wewe umemkagua mapema kuna mwenzio mmoja mwanae kadri anavyo kuwa ndo sauti inakuwa nyororo, matiti na kuwa na mwili kama manzi ni hapo ni boy, kuja kuchunguza hana mbupu zilipotea secretarybird
Ahahhaha nyieeeMbegu gani?
Aolewe vipi ana dushe Ila mbupu ni kama zipo hazipo yaani ukimwona kama gentleman akiongea sasa mmhSasa hivi ameshaolewa?
Duh, ila nasikia moto anauwasha kitandani kama ilivyo ada.Aolewe vipi ana dushe Ila mbupu ni kama zipo hazipo yaani ukimwona kama gentleman akiongea sasa mmh
Mtoto gani we ndege wa kiotani?Duh, ila nasikia moto anauwasha kitandani kama ilivyo ada.
Anachapa watoto wa kike kwa mkia wa mbele kisawasawa.Mtoto gani we ndege wa kiotani?
Hahahaha lazima hiyoAnachapa watoto wa kike kwa mkia wa mbele kisawasawa.