Tatizo la ukosefu wa haja kubwa kwa watoto wadogo na Vichanga. Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu

Mpeleke hospitali anakoweza kuonana na madaktari. Ukiweza kumpata daktari bingwa wa watoto itakuwa vema sana.

Dr. Hameer wa Ilala karibu na Faya ni maarufu kwa kusaidia watoto. Unaweza kuangalia iwapo ni vema ukampeleka mtoto wako hapo.
 
Ndugu umenigusa sana itabidi niende Muhimbili
If mtoto hapati choo kwa muda mrrfu na analia sana ni indication moja wapo ya shida kwenye mfumo wa chakula hasa utumbo mpana. Na kuna vipimo huwa wanafanya kubaini hilo.
 
Nilikuona hameer kasema hana shida
Mpeleke hospitali anakoweza kuonana na madaktari. Ukiweza kumpata daktari bingwa wa watoto itakuwa vema sana.

Dr. Hameer wa Ilala karibu na Faya ni maarufu kwa kusaidia watoto. Unaweza kuangalia iwapo ni vema ukampeleka mtoto wako hapo.
 
Itabidi niende Muhimbili moja kwa moja nikajaribu asante kwa ushauri
Unaweza kumuona daktari bingwa mwingine kwa maoni mbadala. Muhimbili, patafaa zaidi; au ukimuona dk bingwa wa Muhimbili katika hospitali binafsi.
 
ishu ina kama siku4 hivi amepelekwa kituo cha afya wakampa panadol wakasema atakuwa sawa maana mwanzoni aligoma kunyonya na akawa hapati choo, saivi ananyonya na kukojoa ila choo bado hapati,

nini tiba yake?
 
Asalaam wadau natumaini nyote tumeamka salama!

Ni tatizo moja mwanangu ana umri miezi 4 na nusu. Ila ana changamoto ya kutopata choo(haja kubwa) na leo inaenda siku ya 3. Je shida inaweza kuwa nini? Na natakiwa nifanye nini ili apata choo kila siku? Na tumaini nitapa majibu ya kusaidia tatizo hili.

Asanteni 🙏🏿🙏🏿
 
Back
Top Bottom