dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,754
- 3,189
Heshima zenu wakuu
Nina jamaa yangu siyo member wa JF anahiyo shida,
mtoto wake alianzaga kuongea alivofikisha mwaka na nusu then akaugua kifua akaacha kabisa kuongea,
Mpaka sasa anamiaka mitatu anaongea neno mojamoja sana, anauwezo wa kuiga maneno watu wakiongea lakini kuyarudia mwenyewe hayarudii kwa hiyo hawez ongea mpka sasa.
Alishakwenda hospitali kadhaa wakamwambia mtoto hana shida ila amechelewa tu kuongea ataongea bila shida
Jamaa yangu anawasiwasi sana, kama kuna ushauri wowote mwaweza kumpatia tutashukuru