Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Kama ana miaka 5 alafu yupo boarding school tatizo ni wewe tena utakuwa na shida kichwani, lakini kama unaishi nae, tafuta nutritionist.My baby is almost 5yrs now!!
Hapendi kula kabisa yaani .nimetumia unga zote za lishe , nimebadili mapishi yote lakini wapi.
Akifungua shule anakonda vibaya mno maana sidhani kama anakula vizuri huko.
Naombeni msaada wa mawazo mbalimbali nini kifanyike .
Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
Bongo nyoso amesema mwanae hayupo boarding!!!Anakaa shule huko huko ama??
Kama umeruhusu junya akae shule ilhali unajua ana shida ya maakuli basi tatizo ni wewe sasa.
Karekebisha baada ya comments.Bongo nyoso amesema mwanae hayupo boarding!!!
vizuri kama amerekebishaKarekebisha baada ya comments.
wamama wa sikuizi bwana? umeshindwa hata kuwauliza wakubwa zako, majirani, shogazo nk unakuja huku?My baby is almost 5yrs now!!
Hapendi kula kabisa yaani .nimetumia unga zote za lishe , nimebadili mapishi yote lakini wapi.
Akifungua shule anakonda vibaya mno maana sidhani kama anakula vizuri huko.
Naombeni msaada wa mawazo mbalimbali nini kifanyike .
Mwanangu hayuko bording jamani .ila siku nzima.anashinda.shuleni anarudi jioni
Looh mnikome