Muone daktari kwanza kwani hujui kinachosababisha kuharisha, kwa maji hayo atakuwa salama kwa muda kama masaa 12 bila chakulaNa vp kuhusu kumbadilishia maziwa mkuu.
Oya.kile kitabu ulipata.the perfect bet.Mimi hua nachukulia kuharisha au kutapika kama kitu kizuri. Mfano nimapokuwa na Malaria, nikitapika hasa nikitapika nyongo basi hiyo ni dalili ya kupona na hata kama najisikia vibaya, basi huwa napata ahueni.
Pia kama nimekula kitu kibaya naumwa tumbo, nikiharisha natoa kile chakula kichafu na baada ya muda napata ahueni.
Sijui wenzangu mnachukuliaje but for me naona ndio pona yangu...
Hapana mkuu. Sijakipata. Mie mwenyewe natumia kanuni zangu kubet. Nimetengeneza kauni kama za Ras Simba za kufundishia Kiingereza so mie nimetengeneza za kubetia ndio zinaniweka town... 🙄
[emoji15] [emoji15] [emoji15] .zinatoa.?Hapana mkuu. Sijakipata. Mie mwenyewe natumia kanuni zangu kubet. Nimetengeneza kauni kama za Ras Simba za kufundishia Kiingereza so mie nimetengeneza za kubetia ndio zinaniweka town... 🙄
Mkuu chemsha maji kama kitre moja weka 1/4 kijiko cha chai chumvi na kijiko kimoja cha chai sukari yachanye mpe mtoto anywe wakati mnakwenda hospitali