Msaada: Mtandao wa kuagiza spare parts Online gari za Japan

Mwarukuni

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
369
371
Habari zenu wakuu?

Kwa mwenye kujua mitandao yenye kuaminika kununua vifaa vya magari online hasa vile vya kupamba magari, please naomba ashee na sisi, ili tupate kuongeza uzoefu zaidi badala ya kukomaa na mtaa wa lumumba na lindi tu.

Natanguliza shukrani.
 
Kuna njia mbili
  1. Unaweza kuagiza online kwenye mtandao wa Japanese Used Cars | BE FORWARD
  2. Pia unaweza kwenda kwenye office/yard yao dar, just google
 
Back
Top Bottom