Msaada mtambo wa kuchonga barabara

Msaada mtambo wa kuchonga barabara

nyota79

Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
24
Reaction score
5
Nina kampuni ya ujenzi natafuta mtambo wa kuchonga barabara (motor grader 140G) kwa mkopo wa riba nafuu. Nipo Morogoro. Mwenye msaada nitashukuru
 
Jaribu kuwacheki catapila kuna wakati walikuwa wanauza hiyo mitambo kwa mkopo sina uhakika kama bado wanaendelea na utaratibu huo
 
Nina kampuni ya ujenzi natafuta mtambo wa kuchonga barabara (motor grader 140G) kwa mkopo wa riba nafuu. Nipo Morogoro. Mwenye msaada nitashukuru
Mkuu kuna hawa jamaa wanaitwa EFTA Ltd wapo hapo Morogoro hebu jaribu kuwacheki huenda wakakusaidia sana kutokana na maelezo yako.

Wanatoa mikopo ya mashine pia
 
Mkuu kuna hawa jamaa wanaitwa EFTA Ltd wapo hapo Morogoro hebu jaribu kuwacheki huenda wakakusaidia sana kutokana na maelezo yako.

Wanatoa mikopo ya mashine pia
nashukuru nitawatafuta mkuu
 
Angalizo: Hii mitambo inakuwa bora zaidi ukiwa tayari unakazi mkononi.
 
Back
Top Bottom