elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Sasa ili si ungelipeleka kijiwe chenu cha bangi , haikuwa na haja ya kupost hapa , huyo demu achana naye hutakaa umpate nao wamechoka sana kuwathaminisha na pesa, mkifikiri wao hawana moyo wa kupendaWakuu yani jana usiku sikupata usingizi kabisa,
Kuna demu mmoja niligharamia Elf 15 nikajua ntakula mzigo lakini matokeo yamekuwa tofauti,
Naijutia hela yangu ya ngama....
Kijiwe chetu cha bangi unakijua?Sasa ili si ungelipeleka kijiwe chenu cha bangi , haikuwa na haja ya kupost hapa , huyo demu achana naye hutakaa umpate nao wamechoka sana kuwathaminisha na pesa, mkifikiri wao hawana moyo wa kupenda
Unadhani uwongo!?Kweli??
Uwe na Mafanikio memaNgoja nikajaribu, ntaleta mrejesho
Nahc kina niffah na miss chagga wanaweza kukuka ushauri wa kupunguza stress pamoja na Kaka Mshana, Mentor.
Am hereWhere is joanah
Stunter unasikia bro kasemajeMimi nitamcharaza viboko tu...!