Msaada: Msongo wa mawazo umenikosesha usingizi

Dawa ya hao mademu naijua nipe no yake nikufanyie mpango akuletee mwenyewe ule mzigo
 
nyengine ona kama umetoa fungu la kumi tu kijana
 
Dawa ya hao mademu naijua nipe no yake nikufanyie mpango akuletee mwenyewe ule mzigo
Bado kidogo tu nikutumie, lakini kabla ya kuituma nkakumbuka sheria za JF.
So sorry men
 
Kwenye nyumba za ibada mnashindwa toa sadaka, wengine mnatoa mia 5... Kwanini msiadhibiwe tu? Mungu ana njia nyingi za kuadhibu watu.
 
Usinikumbushe huko aisee, na hali ilivyo ngumu nikikumbuka vipesa vilivyonitoka na sikuambulia ntalia bure
 
Kwenye nyumba za ibada mnashindwa toa sadaka, wengine mnatoa mia 5... Kwanini msiadhibiwe tu? Mungu ana njia nyingi za kuadhibu watu.
Aisee Hapo Tunapatikana wengi sana...
 
Usinikumbushe huko aisee, na hali ilivyo ngumu nikikumbuka vipesa vilivyonitoka na sikuambulia ntalia bure
Hahaaha, pole sana mkuu... Wewe zilikutoka ngapi?
 
sijaelewa ujue unajua wivu wangu najua
Yani huyo ni mtu tu ameniomba ushauri so mimi nikajivika kivuli chake na kumuwakilisha humu... Am sorry bae
 
Ha ha ha kambake tu hakuna namna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…