STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 #1 Wakuu yani jana usiku sikupata usingizi kabisa, Kuna demu mmoja niligharamia Elf 15 nikajua ntakula mzigo lakini matokeo yamekuwa tofauti, Naijutia hela yangu ya ngama....
Wakuu yani jana usiku sikupata usingizi kabisa, Kuna demu mmoja niligharamia Elf 15 nikajua ntakula mzigo lakini matokeo yamekuwa tofauti, Naijutia hela yangu ya ngama....
mgunga pori JF-Expert Member Joined Jul 23, 2016 Posts 4,093 Reaction score 4,912 Nov 23, 2016 #2 Daaah basi sawa
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 Thread starter #3 mgunga pori said: Daaah basi sawa Click to expand... Yani roho inaniuma sana
Bobbyray JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 1,378 Reaction score 1,782 Nov 23, 2016 #4 Mbona pesa ndogo hiyo wenzako wanatoa Zaidi lakini hawambulii kitu
be unique JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 2,381 Reaction score 2,292 Nov 23, 2016 #5 Bobbyray said: Mbona pesa ndogo hiyo wenzako wanatoa Zaidi lakini hawambulii kitu Click to expand... wanaotoa zaidi uwezo wao upo juu zaidi.
Bobbyray said: Mbona pesa ndogo hiyo wenzako wanatoa Zaidi lakini hawambulii kitu Click to expand... wanaotoa zaidi uwezo wao upo juu zaidi.
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 Thread starter #7 Bobbyray said: Mbona pesa ndogo hiyo wenzako wanatoa Zaidi lakini hawambulii kitu Click to expand... Ningetoa laki na usawa huu nahisi sasaivi ningekuwa mahututi...
Bobbyray said: Mbona pesa ndogo hiyo wenzako wanatoa Zaidi lakini hawambulii kitu Click to expand... Ningetoa laki na usawa huu nahisi sasaivi ningekuwa mahututi...
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 Thread starter #8 jina halisi said: wanaotoa zaidi uwezo wao upo juu zaidi. Click to expand... Umeongea point
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 Thread starter #9 nkya munis said: Kweli Click to expand... Kweli mkuu... Yani hapa nawaza nijinyime kula siku nzima ili nifidie
nkya munis said: Kweli Click to expand... Kweli mkuu... Yani hapa nawaza nijinyime kula siku nzima ili nifidie
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Nov 23, 2016 #10 Bobbyray said: Mbona pesa ndogo hiyo wenzako wanatoa Zaidi lakini hawambulii kitu Click to expand... we unajua 15000 kwa muhindi unafanya kazi ya ugumu gani tena hupati kwa siku moja hela imekua ngumu hadi kwa machangudoa wateja wanapaka mkongo tu hawamalizi upesi
Bobbyray said: Mbona pesa ndogo hiyo wenzako wanatoa Zaidi lakini hawambulii kitu Click to expand... we unajua 15000 kwa muhindi unafanya kazi ya ugumu gani tena hupati kwa siku moja hela imekua ngumu hadi kwa machangudoa wateja wanapaka mkongo tu hawamalizi upesi
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Nov 23, 2016 #11 Jichue sasa
Msukuma wa dar JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 1,160 Reaction score 1,201 Nov 23, 2016 #12 Msiwege na nyie mnagaramikia km hamjapata uhakika WA papuchii..kunywa viroks mawazo yataisha
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 Thread starter #13 MO11 said: we unajua 15000 kwa muhindi unafanya kazi ya ugumu gani tena hupati kwa siku moja hela imekua ngumu hadi kwa machangudoa wateja wanapaka mkongo tu hawamalizi upesi Click to expand... Aisee yani Nawaza nijipe adhabu ya kujinyima vitu vya msingi ili nifidie, nikiwaza nlipoipata kwa shida..
MO11 said: we unajua 15000 kwa muhindi unafanya kazi ya ugumu gani tena hupati kwa siku moja hela imekua ngumu hadi kwa machangudoa wateja wanapaka mkongo tu hawamalizi upesi Click to expand... Aisee yani Nawaza nijipe adhabu ya kujinyima vitu vya msingi ili nifidie, nikiwaza nlipoipata kwa shida..
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 Thread starter #14 Nokia83 said: Jichue sasa Click to expand... Bora nife nazo tu kuliko kujichua
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 Thread starter #15 Msukuma wa dar said: Msiwege na nyie mnagaramikia km hamjapata uhakika WA papuchii..kunywa viroks mawazo yataisha Click to expand... Nimekoma sasaivi ndo sitotos hata tsh kumi yangu... Usawa sio huu... Yes Mimi ni Dume Suruali
Msukuma wa dar said: Msiwege na nyie mnagaramikia km hamjapata uhakika WA papuchii..kunywa viroks mawazo yataisha Click to expand... Nimekoma sasaivi ndo sitotos hata tsh kumi yangu... Usawa sio huu... Yes Mimi ni Dume Suruali
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 Thread starter #16 Somebody help
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 Thread starter #17 aggyjay said: mademu wa kigogo wanahongwa kumi na tano?? Click to expand... Kwani nani amesema ni demu wa kigogo?
aggyjay said: mademu wa kigogo wanahongwa kumi na tano?? Click to expand... Kwani nani amesema ni demu wa kigogo?
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,758 Nov 23, 2016 #18 jje's anajua kama ulihonga? Au unamuombea mtu ushauri?
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Nov 23, 2016 Thread starter #19 joanah said: jje's anajua kama ulihonga? Au unamuombea mtu ushauri? Click to expand... Namuombea mtu ushauri, tu, alafu sikumuhonga, yani tulitumia sote
joanah said: jje's anajua kama ulihonga? Au unamuombea mtu ushauri? Click to expand... Namuombea mtu ushauri, tu, alafu sikumuhonga, yani tulitumia sote
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,758 Nov 23, 2016 #20 STUNTER said: Namuombea mtu ushauri, tu, alafu sikumuhonga, yani tulitumia sote Click to expand... Mpe pole asee
STUNTER said: Namuombea mtu ushauri, tu, alafu sikumuhonga, yani tulitumia sote Click to expand... Mpe pole asee