Msaada: Msichana yupi ananifaa?

Achana nao wote tafuta mwingine. Angelikuwepo wa chaguo lako hapo isingekuwia vigumu kufanya maamuzi
Halafu vijana mke ni msaidizi ukiwa na maono ya maisha yako mbeleni ni rahisi kuchagua mke kulingana na maono yako.
 


Ushauri wangu ni huu.

SUBIRI UKUE KWANZA ILI UJUE UNATAKA NINI.

Kwasa bado hujakua
 
Mkuu siku nyingine unapojaribu kuandika uzi humu, jaribu kuandika maneno yote ukaeleweka punguza kuandika mfano. nn badala ya nini

Nirudi kwenye mada husika;

Huyo wa pili anakufaa zaidi.
 
Oa mwenye tako kubwa zaidi kati yao
 
Achana nao wote tafuta mwingine. Angelikuwepo wa chaguo lako hapo isingekuwia vigumu kufanya maamuzi
Halafu vijana mke ni msaidizi ukiwa na maono ya maisha yako mbeleni ni rahisi kuchagua mke kulingana na maono yako.
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…