Kwani mkuu huwezi penda watu wawili?bro huyu anatudanganya inakuwaje hajui anampenda nani zaidi?? inawezekana kupenda watu sawa??
naweza ila sio kwa kiwango sawaKwani mkuu huwezi penda watu wawili?
Mkuu unazungumziaje wanaume wenye wake watatu? Mfano KWA waislamu? Wanakuwa wanawapenda wote au ndo kuna mmoja zaidi?naweza ila sio kwa kiwango sawa
naamini kuna mmoja zaidi....Mkuu unazungumziaje wanaume wenye wake watatu? Mfano KWA waislamu? Wanakuwa wanawapenda wote au ndo kuna mmoja zaidi?
Kuhusu kuchepuka kumkuta aliyesalimika ni bettingkama ndo hivo basi uwezekano wa kuja kuchepuka akiwa kwenye ndoa ni mkubwa....
yamekukuta yapi rafiki yangu π³π³π€¨KATAAA NDOA
NDOA NI UTUMWA
NDOA NI UTAPELI
JALI AFYA YAKO
NAKAZIAKataa ndoa....π
ndo ufikie hatua ya kukataa ndoa na wewe umri huo kweli π€π€Nachukia Uongo
sawa bhanaπ€Nikuulize kwani ww unaumri gani?
Mm na ndoa HAPANAAAAAAA
Wazo zuri sanaUsioe hata mmoja hapo. Tafuta mtu mwingine. Hao wote wawili hawafai, watakuja kukupeleka jela.
Kunijibu umri wako napo tabu?sawa bhanaπ€
tulia kwanza, ngoja nikaangalie Kwani kwenye cheti cha kuzaliwa ππ€Kunijibu umri wako napo tabu?
Wanawake sijui mkoje πππ
Alafu uniambie nioe Labda mnirogetulia kwanza, ngoja nikaangalie Kwani kwenye cheti cha kuzaliwa ππ€