3baed Member Joined Feb 4, 2016 Posts 21 Reaction score 18 Jun 2, 2016 #1 Hivi mshahara take home ya mwalimu mwenye degree anaeanza kazi ni shillingi ngapi.( Nauliza mshahara baada ya makato)
Hivi mshahara take home ya mwalimu mwenye degree anaeanza kazi ni shillingi ngapi.( Nauliza mshahara baada ya makato)
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,796 Reaction score 6,444 Jun 2, 2016 #2 Laki tano na arobaini na kitu...Tafuta kuna uzi umo humu kwa uhakika zaidi ila inacheza kwenye laki tano humo humo
Laki tano na arobaini na kitu...Tafuta kuna uzi umo humu kwa uhakika zaidi ila inacheza kwenye laki tano humo humo