Jamani mimi naomba mwenye mawasiliano (namba za simu) za shule ya St. mary's ya mbeya ya wasichana (advance) anisaidie ,, then na anaefaham ada yao asisite kunambie
ata matokeo yao ya kidato cha sita mwaka huu pia asisite kunambia
God bless you
ndugu naamin una access ya internet google hyo st.mary's mbeya utapata webste yao(contact ztakuwepo humo) na pia namb ya shule utaipata kwa hyo unawez kuangalia matokeo.
ndugu naamin una access ya internet google hyo st.mary's mbeya utapata webste yao(contact ztakuwepo humo) na pia namb ya shule utaipata kwa hyo unawez kuangalia matokeo.