Msaada,Msaada Tafadhali.

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
Wakuu nimekwama nahitaji msaada wenu wa haraka ktk hili.External HDD yangu haisomi ktk Imac yangu.Mwanzo ilikuwa inaonekana though nilikuwa siwezi ku paste files toka Mac kwenda kwenye HDD na nilikuwa naendelea na project zangu kama kwaida kwa ku-save project ndani ya comp badala ya External. Kwa sasa haionekani kabisa.kila ninapo i-plug via usb port naletewa msg yenye maneno ''the disk you inserted was not readable by this computer.Je tatizo hili linahusiana na issues za FAT/NTFS files?.Kuna haja ya ku-formart HDD kwa FAT?nime-google kuuliza tatizo hili lakini bado maelezo ninayopewa yapo contary na tatizo langu.
CC Young Master, chief-mkwawa, C6 & others.
 
nimesitisha kila kitu kasubiri msaada wenu wakuu.cwezi kuendelea na kazi....mbona po kimya?!ndo kusema majority ya expert humu wamebobea zaidi ktk OS ya window au?!c'mon guys.help me.:A S-cry:
 
umeijaribu kwenye windows au linux machine?
 
umeijaribu kwenye windows au linux machine?
window inaonekana vizuri...hata napa tkk mac ukiingia ktk about this mac-system report inaonekana ila ukienda sehemu iliyoandikwa computer(my computer kwa window)haionekani.
 
window inaonekana vizuri...hata napa tkk mac ukiingia ktk about this mac-system report inaonekana ila ukienda sehemu iliyoandikwa computer(my computer kwa window)haionekani.

honestly mie si mjuzi wa vifaa vya apple, nilitaka kukupa general suggetions ila tusubiri kidogo kama hawatatokea wajuzi wa apple basi ntakupa suggetions
 
honestly mie si mjuzi wa vifaa vya apple, nilitaka kukupa general suggetions ila tusubiri kidogo kama hawatatokea wajuzi wa apple basi ntakupa suggetions
sawa nasubiri.
 
C6 naona kimya,nipatie tuu ile suggestion yako kaka.ila nimejifunza jambo hapa.ukihitaji msaada wowote unahusiana na OS au product za apple respond yake ni ndogo sana.ama kweli watu wa window ya bwana bill gate wanafaidi.wish i was the one.cc wa product za marehemu steve job tulie tu.:A S 20:
 

Ukiconnect hiyo externa HDD yako kwenye windows PC inasoma?
 
PROBLEM SOLVED.....much respect kwa rafiki yangu babuu Hasheem M.kwa msaada wako wa kuniambia ni download na kui-install software inayofahamika kwa jina la #Tuxera NTFS 2012.3.6.Sasa hivi kila kitu kinaenda poa ingawa nimepewa trial period ya 15 days.na hii iwe msaada kwa watumiaji wote wa mac watakao/wanaokumbana na tatizo kama langu,chukueni jina la hiyo software.Babuu wee ni we ni apple expert pls jiunge JF kutoa misaada mbalimbali ya kiufundi na uache kuingia jf kama guest.:smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…