Msaada: msaada namna ya kucast phone to smart tv

Msaada: msaada namna ya kucast phone to smart tv

Sisi wenye TV zenye chogo tunachangiaje huu uzi daa ?
Simu za zamani port ya Earphone ilikuwa unachomeka 3.5mm jack kwenda AV hizi ndio zinaendana na tv ya Chogo.
41AsRcMjQcL._AC_SY400_.jpg
 
Mimi ninayo hii star x ,vipi mkuu nayo inakubali mipango hii???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom