Heshima zenu wana jf, ninayo desktop aina ya Dell inspiron 520s ilikuwa inafanya kazi vizuri tu lkn kuanzia jana baada ya watoto kuchezea games, uki boot monitor inaonyeshe Iko kwenye sleep mode na inazima na kuweka kiza je nitumie njia gani ku solve tatizo hili hapa nyumbani kabla ya kutafuta fundi???? Natanguliza shukrani zenu.