GAMBLER JF-Expert Member Joined Nov 22, 2009 Posts 303 Reaction score 12 Jul 25, 2012 #1 Wadau kuna doc nime edit kwa kutumia word 2007, wakati wa ku save inanijibu The save failed due to out of memory or disk space Msaada wenu wana Jf
Wadau kuna doc nime edit kwa kutumia word 2007, wakati wa ku save inanijibu The save failed due to out of memory or disk space Msaada wenu wana Jf
GAMBLER JF-Expert Member Joined Nov 22, 2009 Posts 303 Reaction score 12 Jul 25, 2012 Thread starter #2 msaada jamani
tovuti Senior Member Joined Oct 29, 2009 Posts 160 Reaction score 12 Jul 25, 2012 #3 vuta subira, utajibiwa mkuu
GAMBLER JF-Expert Member Joined Nov 22, 2009 Posts 303 Reaction score 12 Jul 25, 2012 Thread starter #4 tovuti said: vuta subira, utajibiwa mkuu Click to expand... sawa mkuu
Z zamlock JF-Expert Member Joined Dec 25, 2010 Posts 3,840 Reaction score 661 Jul 25, 2012 #5 GAMBLER said: Wadau kuna doc nime edit kwa kutumia word 2007, wakati wa ku save inanijibu The save failed due to out of memory or disk space Msaada wenu wana Jf Click to expand... Computer yako ina uwezo gani kwenyye RaM oa hard disk angalia kati ya hivyo vitu viwili kuna tatizo lakin kikuwa huwa kina kunakuwa drive kama imejaa na akuna space ya kuweza kuweka data
GAMBLER said: Wadau kuna doc nime edit kwa kutumia word 2007, wakati wa ku save inanijibu The save failed due to out of memory or disk space Msaada wenu wana Jf Click to expand... Computer yako ina uwezo gani kwenyye RaM oa hard disk angalia kati ya hivyo vitu viwili kuna tatizo lakin kikuwa huwa kina kunakuwa drive kama imejaa na akuna space ya kuweza kuweka data
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,275 Reaction score 44,410 Jul 25, 2012 #6 unaweza kuta una partition let say c na d then word default inasave kwenye drive c wakati wewe drive c umeijaza na d ina space. Kama ni kama hapo juu change default path ya word isave sehemu yenye memory
unaweza kuta una partition let say c na d then word default inasave kwenye drive c wakati wewe drive c umeijaza na d ina space. Kama ni kama hapo juu change default path ya word isave sehemu yenye memory