Msaada: Mpenzi wangu wa zamani bado ananitaka

zaeni mwongezeke!
maana wewe na huyo dada hata hamueleweki...
wapi mmetoka wala mnakokwenda

sijawaelewa kabisa!
asanteni kwa kunifanya nitabasamu
 
Hujajua kitu hapo....huyo binti kaamua kukupotezea muda sababu ya hiyo hali. Si unajua mambo ya ujauzito unavyozengua. Subiri ajifungue ndo utajua kama anataka arudi kwako au la. Hapo ni hiyo mimba imemfanya amchukie huyo bwana aliyempa mimba. Grow up kid.
 
ahsante kwa ushauri
 
oohh mtoto nenda shule hayo mambo yapo na utayaacha mdada ana mimba bado anaomba mimba yako? kamalize h/work kwanza
i see sio kila mwanafunz mtt think big!
 
Hapo issue ni kuzaa naye au anakuhitaji, sijaona unahusikaje na kumharibia maisha accordingly to maelezo yako, kwakuwa sio wew uliempa mimba.
ndo maana nashangaa mkuu etinilivyokosana nae alikosa mwelekeo
 

Nina tukio linatokana na kwa asilimia kubwa na hili lako.
 
Onyesha ukomavu mwache alee ujauzito wake. Tafuta mwanamke mwingine
 
Nina tukio linatokana na kwa asilimia kubwa na hili lako.

Nina tukio linalofanana na hili lako kwa asilimia kubwa sana.
Inaonyesha alijilengesha kupata ujauzito haraka haraka ili kukukomoa ila sasa amezinduka ndio maana anakupigia magoti.
 
Wala hujafanya maisha yake magumu... ile huyo aliye nae ndiyo mwenye maisha magumu..
 
Wanaume mna vituko!!! Mnapenda kuvuliwa chupi na kila mtu halafu mkitaka kuoa mnatafuta bikira. Hahahaaaaa!!!!!!!!!!
 
Huyu mpige nao tu.....yani ukiwa na nyege mshindo unawahi kwake mana ex haachi
 
Wanaume mna vituko!!! Mnapenda kuvuliwa chupi na kila mtu halafu mkitaka kuoa mnatafuta bikira. Hahahaaaaa!!!!!!!!!!
Duuuh kwa maisha hya kuoa bikra labda binti wa 16yrz ndio umkute nayo tena kwa nadra
 
Yaani ndivyo ilivyo kwenye game alikuwa analia kwa hamu ya utamu halafu sijui wabwagane na mpenzi wake ndo aje na mimba halafu nimuelewe , hapana aisee.
Hahahaha eti "halafu"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…