Sasa anajutia nini Baada ya kukuacha. Mara nyingi nasemaga wanawake ni tatizo sasa Maisha yamemchapa ndo anakukumbuka. Msamehe tuHabarini wana jamvi!!
katika harakati.za hapa na pale nilikwaruzana na mpenzi wang ofcourse nilimpenda nae alinikubali japo sikumwamin sanaaa na ishu ya kuzinguana alimtukana mtu ninae mtegemea ktk mamb kadha wa kadha nilivyo jaribu kumwambia kwamb sijapenda lile suala akaanza kunikashfu actually ikaniuma so tukaacha kuwaailiana na kila mtu akawa na mish zak but aftrer one year nimekutana nae tena she is pregnant na kaniomba tuzungumze nikivopata mda tukakaa akaanza kulia oooooh umefanya maisha yangu yawe magum sikutaka kuzaa na mwanamme mwngn zaid yako bado nakupenda sana na lazima nije nizae na ww duuuuh!!!!
Wakuu nifanyajeee?
Ukitaka maambukizi mrudie.yesss!
ndio maana!!
wewe ndo mjinga wa mwisho kwenye hii dunia, mpe ushauri kama uwezi kaaa kimya, unavyooneka ujamaliza darasa la sabaMAGUFULI BABA ENDELEE HIVYO HIVYO MPAKA WATU WAWE WANAONGEA PEKE YAO , SASA HUYU NAE KAJ KUOMBA USHAURI KWA UJINGA HUU ....NON SENSE
Wewe unatakaje ndio muhimu,furaha yako wewe ndio yetu........Habarini wanajamvi!!
Katika harakati za hapa na pale nilikwaruzana na mpenzi wangu, ofcourse nilimpenda nae alinikubali japo sikumwamini sana na ishu ya kuzinguana ni kwa sababu alimtukana mtu ninaemtegemea katika mambo kadha wa kadha.
Nilivyojaribu kumwambia kwamba sijapenda lile suala akaanza kunikashfu actually ikaniuma so tukaacha kuwasiliana na kila mtu akawa na mishe zake. After one year nimekutana nae tena, she is pregnant na kaniomba tuzungumze.
Nilivopata mda tukakaa, akaanza kulia oooooh umefanya maisha yangu yawe magumu, sikutaka kuzaa na mwanamme mwingine zaid yako na bado nakupenda sana na lazima nije nizae na wewe.
Wakuu nifanyajeee?
Ampe nn mkuu