jimyjooo
Senior Member
- Feb 2, 2017
- 129
- 66
Mwaka unaishia ila kunajambo linanikwaza hadi natamani nisiuvuke mwaka.
Jambo lenyewe nimedumu ktk mahusiano na binti ambaye Mungu ameonesha ufundi wake ila ANANUKA kinywa.
Je, nifanye nini tatizo liishe niendelee kufaidi utamu wke?
Nikimwacha naona km nakufuru uumbaji wa Mungu.
Wajuzi mnisaidie