Msaada: Mpenzi hana siri

Siri za familia unazileta JF...Hiyo hali sio ya kawaida kwa kweli
 
demu mwenzio huyoo.....pima oil kama hujakuta valve debwedo....
 
sijui shida ni nn...tukigombana ananichamba Yan napewa vichambo vya hatari[emoji30] [emoji30]



mchunguze vizuri,labda ana jinsia mbili...dume zima sio bure kuwa hovyoo kihivyo
 
Hahaha
Hao ni wavulana shost!!!! Wanaume wa hivyo hakunaga
 
Kazi unayo!! maendeleo au mafanikio hayatangazwi. kama hupendi umbea usimsikilize anapokuwa anakuhadithi mambo ya marafiki zake, mkatize au mwambie hupendi hiyo tabia, hiyo ndio dawa ya kuharibu umbea.
Kama ni msikivu na mnapendana kweli basi atakusikiza, ila kama ni tabia yake wafwaaaa!!!

Kujua kutunza jambo au siri moyoni ni tabia ya mtu.
 
Sasa cha kufanya ni kukaa na kuongea nae kwa kina juu ya mustakabali wa maisha yenu ya kifamilia..Jaribu kila uwezavyo kumsihi asiwe mropokaji mropokaji...haifai..Msihi sana atunze siri...Sio kila kitu cha kusemasema ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…