kama hata kuongea nae unashindwa kumwambia unavyochukizwa hakuna namna acha tu awe shilawadusijui nifanyaje mwenzenu
Habari za leo ndugu zangu,
Nimekua na mahusiano na mpenzi wangu mpya niliempata hivi karibuni lakini cha kushangaza hana siri yupo kiswahili sana kila kitu yeye ni kutangaza juzi kanunua kiwanja ametangaza mpaka kwa ndugu zangu. Mambo ya siri ya marafiki zake ananiambia mpaka namuogopa.
Ndugu zangu hii hali ni ya kawaida kweli?
Hulka hizo. Mi nishawahi kuwa nae,tena yeye mbea wa Instagram. Eti nasikia mange Kagombana na nani?Mara wema kafanyaje eti huko insta? Tz shaderoom sijui nini aisee nilimpa Kubwa moja tu,nikamwambia muulize mbea mwenzio Dada ko,sitaji kabisa unishirikishe umbea umbea wakl wa kijinga.Mkanye bhana, mwanaume gani huyo ana chembe chembe za kike!!!
Kama Mondray alivyokukera kipindi kile![emoji1]Mmmh! Una redio mkuu!!! Mimi watu wa hivyo wananikera sana!!!
Kabisa mwaya na yeye ndio wa kimbadilisha sasa nashangaa kuja kumsemelea mwenzie hukuMkanye bhana, mwanaume gani huyo ana chembe chembe za kike!!!
Mipasho ukimaanisha?ana mipasho hatar
Mondray hajawai nikeraKama Mondray alivyokukera kipindi kile![emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hulka hizo. Mi nishawahi kuwa nae,tena yeye mbea wa Instagram. Eti nasikia mange Kagombana na nani?Mara wema kafanyaje eti huko insta? Tz shaderoom sijui nini aisee nilimpa Kubwa moja tu,nikamwambia muulize mbea mwenzio Dada ko,sitaji kabisa unishirikishe umbea umbea wakl wa kijinga.
Alipunguza Mawasiliano,akaniacha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kisa nilimwambia ukweli.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji38]Hulka hizo. Mi nishawahi kuwa nae,tena yeye mbea wa Instagram. Eti nasikia mange Kagombana na nani?Mara wema kafanyaje eti huko insta? Tz shaderoom sijui nini aisee nilimpa Kubwa moja tu,nikamwambia muulize mbea mwenzio Dada ko,sitaji kabisa unishirikishe umbea umbea wakl wa kijinga.
Alipunguza Mawasiliano,akaniacha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kisa nilimwambia ukweli.
tatizo mmbea sana mambo ya siri anaweka wazi halafu anaeza akasema siri ya rafiki yake akakuambia kabisa usije ukasema lakin[emoji38][emoji38][emoji38] tena unakuta mambo ya aibu ambayo alitakiwa kunyamaza huwa nashangaa sanaakiwa msiri asipokuambia mambo yake unalalamika... amekuwa muwazivanakuambia kila kitu napo unalalamika..!!!!
sasa unataka afanyaje...!!!!
ila huyo jamaa nae kazidi... umempa nini kwani mpaka anakuwa roporopo hivyo..!!!!tatizo mmbea sana mambo ya siri anaweka wazi halafu anaeza akasema siri ya rafiki yake akakuambia kabisa usije ukasema lakin[emoji38][emoji38][emoji38] tena unakuta mambo ya aibu ambayo alitakiwa kunyamaza huwa nashangaa sana
mimi naomba ushauri kwa nyie msionifahamuHata wewe huna siri, yaani umekuja kuanzisha uzi humu JF??
sijui shida ni nn...tukigombana ananichamba Yan napewa vichambo vya hatari[emoji30] [emoji30]ila huyo jamaa nae kazidi... umempa nini kwani mpaka anakuwa roporopo hivyo..!!!!