kwani mtoa mada ni keHaa sasa unaogopa nini wakati bwana ako ana kipaji adimu cha ushilawadu. Utajiri huo bidada,nnavyopenda umbea aiseee ningefaidi sana story za rafiki zake hasa ukute miongoni mwao ni members wa humu ningejua hadi ID zao,ningewachoraje kwa malalamiko na story zao humu.
Umbea hauna posho ila mtamu
ndiokwani mtoa mada ni ke
Aisee pole sana mwanaume kuwa hivyo haipendezindio
yani anatia kinyaa wallah...tukikosana anaanza kutangaza amenisaidia mambo mengi sijui ana shida ganAisee pole sana mwanaume kuwa hivyo haipendezi
Duuuu. Umenikumbusha jamaa mmoja nae yuko hivyo hivyo anapenda sifa huyo. Hata akitaka kutongoza anaanza kwa kujisifia kwanza. Mbwembwe nyingi Mpaka mademu wanamuita mpashukuna wanamponda kwa tabia yake hiyo.Lakini mie mkimya mademu ndio nachukua kiulaini. Napiga show mademu wenyewe wanakubali mpaka wanasema aisee hawa wakimya hatar sanayani anatia kinyaa wallah...tukikosana anaanza kutangaza amenisaidia mambo mengi sijui ana shida gan
Unaenda kumpoteza kundini π π π πHaa sasa unaogopa nini wakati bwana ako ana kipaji adimu cha ushilawadu. Utajiri huo bidada,nnavyopenda umbea aiseee ningefaidi sana story za rafiki zake hasa ukute miongoni mwao ni members wa humu ningejua hadi ID zao,ningewachoraje kwa malalamiko na story zao humu.
Umbea hauna posho ila mtamu
ebu kaa nae chini uongee nae umwambie unavyochukizwa usikute hata unayofanya nae anakutangaziayani anatia kinyaa wallah...tukikosana anaanza kutangaza amenisaidia mambo mengi sijui ana shida gan
ana mipasho hatarMkanye bhana, mwanaume gani huyo ana chembe chembe za kike!!!
sijui nifanyaje mwenzenuebu kaa nae chini uongee nae umwambie unavyochukizwa usikute hata unayofanya nae anakutangazia
Mmh huyo muache tu hafai.yani anatia kinyaa wallah...tukikosana anaanza kutangaza amenisaidia mambo mengi sijui ana shida gan
Kheee mipasho tena huyo mwenzetu tenaana mipasho hatar