Ni series, nimehanisha kutoka pc moja kwenda nyingine. Kwenye pc niliyotoa nilikuwa zinaplay vizuri, ila sasa hivi juzi nimefingia kwenye hii pc nyingine nikaanza episode ya kwanza na ya pili kufika ya 3 haifunguki.
Hizo mbili za mwanzo hata sasa zinafunguka, but zilizobaki zote zimegoma, nimejaribu karibu kila aina ya video player imeashindikana.
Kuna namna yoyote ya kusolve hili tatizo wakuu??