Msaada: Mouse cursor kutokuonekana baada ya kuweka window 10 kutoka window 7

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,179
Reaction score
3,103
Wakuu habari za jioni

Laptop aina ya dell nilikuwa nabadili windows,kutoka window7 kwenda window 10.

imepotelea hatua Baada ya kubonyeza boot key,nika select usb storage kama kawaida,baada ya hapo nikawa sioni cursor hivyo nikashindwa kuendelea,

Ikabidi nitafute external mouse,ikafaa vizuri na nikaendelea na zoezi.

Cha ajabu hata baada ya kumaliza kuinstall window,mouse cursor haikuwa inaonekana ,nmejaribu kutumia fn+f3,f5,f9,f11 lakini haijafaa.

Nmepiga window 10 nyingine lakin swala likabaki vile vile.

Nmeona nije kwenu ndugu zangu mnipe msaada.

Natanguliza shukrani
 
Embu cheki drivers za mouse, jaribu kuziunistall kisha restart, sema kuelekezwa bila picha ni ngumu sana ila tatzo lako dogo. Na kama solution zitashindikana basi imekufa hiyo hardware
 
Shukrani mkuu ngoja nijaribu hii
 
Wakuu habari za jioni

Laptop aina ya dell nilikuwa nabadili windows,kutoka window7 kwenda window 10.

imepotelea hatua Baada ya kubonyeza boot key,nika select usb storage kama kawaida,baada ya hapo nikawa sioni cursor hivyo nikashindwa kuendelea,

Ikabidi nitafute external mouse,ikafaa vizuri na nikaendelea na zoezi.

Cha ajabu hata baada ya kumaliza kuinstall window,mouse cursor haikuwa inaonekana ,nmejaribu kutumia fn+f3,f5,f9,f11 lakini haijafaa.

Nmepiga window 10 nyingine lakin swala likabaki vile vile.

Nmeona nije kwenu ndugu zangu mnipe msaada.

Natanguliza shukrani
Tafuta setup nyingine au iludishie hiyo win 7 kuna kitu hakipo sawa kwenye window
 
Nashukuru mkuu,niliweka window nyingine yan version nyingine.imekaa sawa
 
Back
Top Bottom